JamiiForums Usiku wa manane

Hivi ushawahi kuwa na jirani anakoroma kama gari bovu? Fikiria kuna ukuta lakini hadi chumbani kwangu namsikia.
Mtu anakoromaaaaaaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muache tu akorome kama usingizi kaulipia
 
Hivi ushawahi kuwa na jirani anakoroma kama gari bovu? Fikiria kuna ukuta lakini hadi chumbani kwangu namsikia.
Mtu anakoromaaaaaaaaaaaaa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nilishawahi kulala Na mtu anakoroma jamani ile siku nilitamani pakuche haraka, nikawa najipoza kwa kumsukuma kidogo anashtuka anaacha kukuroma. Zikipita dk 10 huyo anaanza tena....ni mateso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…