π΄π΄π΄π΄π΄π΄πππππ
Nilishawahi kulala Na mtu anakoroma jamani ile siku nilitamani pakuche haraka, nikawa najipoza kwa kumsukuma kidogo anashtuka anaacha kukuroma. Zikipita dk 10 huyo anaanza tena....ni mateso
baadhi tuko machoπΊπΊπΊπΊHatimaye walinzi wote mmesinzia
Hiyo Avatar yako inanitia vishawishini...baadhi tuko machoπΊπΊπΊπΊ
πππ kivipi mkuu???Hiyo Avatar yako inanitia vishawishini...
Halali mtu tunazunguka mtaa wa pili kuangalia usalamaHatimaye walinzi wote mmesinzia
Tunaomba dua mkuu03:00am
tunasindikiza lindo na safari bariiiiiiidiπΊπΊπΊTunaomba dua mkuu
ha ha ha angalia usizidishe ukatelekeza lindotunasindikiza lindo na safari bariiiiiiidiπΊπΊπΊ
Hawa wako vizuri zaidi....Stuck on you - Lionel Richie π
ππππStuck on you - Lionel Richie π
Nimeona ππHawa wako vizuri zaidi....
Walikuwa wako vizuri sana,sijajua wamepotelea wapi;kama utaangalia,kuna concert moja walifanyia uk iko powa sana.Nimeona ππ
umelala???Nimeona ππ
duh nimebaki mwenyeweWalikuwa wako vizuri sana,sijajua wamepotelea wapi;kama utaangalia,kuna concert moja walifanyia uk iko powa sana.