JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23]tandale kwa tumbo hamna mwendokas ujue ..Yeah Kuna road pale unachoma kulia unatokea tandale then Sinza..Hapafai kuishi kabisa Uswahili swahili nauogopa vibayaa [emoji38][emoji38]
Wewe mwendokasi upo wa Magomeni. Na kituo ni Kanisani then unapanda vidaladala vya kwa Tumbo sasa. Kule nilifikaga mwaka fulani mhh siwezi kuishi akii
 
Wewe mwendokasi upo wa Magomeni. Na kituo ni Kanisani then unapanda vidaladala vya kwa Tumbo sasa. Kule nilifikaga mwaka fulani mhh siwezi kuishi akii
[emoji38][emoji38][emoji38]unatembeaga na nikabu nini
Kituo cha mwendokasi magomeni kanisani kipo kwenye kona na mteremko unapanda unaelekea kinondoni mkwajuni
Ulienda kufanya nini Kwa tumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…