Oya unatakaje kumlisha huyu mtoto wa kilatini makongoro mzee. Ngoja nimuandalie kiepe yai specialUsijali mpaka majogoo utapata hela ya kongoro asubuhi kwanza unakulaga?
Umekuwa konokono ww sasa maana yy ndio anaishi hivyo.Hahaha sasa uongo uko wapi hapo?
Nitaokoka nikiolewa kama nitabarikiwa kuwepo. .Na ww unaweza ukachukua maamuzi mapema corona ndio hii.
Nna undugu naeUmekuwa konokono ww sasa maana yy ndio anaishi hivyo.
Kwenye shughuli nayo unasagiwa sio?Sasa mateso ya nini?
Kulikoni tena?waungwana mbona sielewi elewi hapa..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha nitazame tamthilia mmMzee baba naona umeamua kunipigia debe kabisa. Sikuwezi. Angekuwa yule mzee Super Villain angekaza
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Shughulini mara nyingi kuna kukuKwenye shughuli nayo unasagiwa sio?
Nakukubali sana mzee. Ila jamaa Super Villain fundi sana wa kukunja nditaMzee wa fitna Super Villain yupo kwenye ile mood karee..haez kunja na kama kuna issue hajarekebisha bhas leo kaza utaipata tu
Naisubiria picha ya ukoko [emoji41]Wewe chukua picha ukale
[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona naona kama unaleta utapeli sasa bibie.Wewe nipe hela[emoji39] nitanunua me mwenyewe na ukiwa unafanya hivi utanipa motisha ya kufanya kazi kwa bidii
nataka kuliunga hapa..ila sielewi nianze wapi?Kulikoni tena?
Kuna kiporo kwenye sufuriaNaisubiria picha ya ukoko [emoji41]
Hahaha we chomekea popote tunataka kuliunga hapa..ila sielewi nianze wapi?
Mbona umeshaanzanataka kuliunga hapa..ila sielewi nianze wapi?
Ndio mm nipo naisubiria mpaka hizi habari za corona ziishe ndio nitalala.BBC inaishaga? Au inalalaga?
Utasubiri sana...namalizia magazeti hapa...Ndio mm nipo naisubiria mpaka hizi habari za corona ziishe ndio nitalala.