Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha ujue hii pia ni aina ya uchochezi, na Mimi ntaanza kua mchochezi mpaka umrudishe officer wa getini dirty head[emoji39] [emoji40] [emoji125]Hatujamshika jamani ni marienge yake tuu ndio yanamfanya asikuone
Nakusalimu pia kipenziHuku kwetu Nanjilinji network,inasumbua nimechoka kukaa juu ya mti,wacha nishuke nilale zangu...........nisalimieni best wa mie, jje's
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji8]Ahahahaaaaaa ndio maana yake hiyo na mlango ukifunguliwa ghafla unailalia faster,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au umeamua kunitumia address ya Jirani jirani kumbe wazima taa, nimeshtuka[emoji12] [emoji85]
Ni balaa nakwambia.Haya nakupata sana. Nyie bhana longolongo hamtaki ndo maana mnapiga kimya[emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji12]
Usisahau kushuka huko mtini na maparachichi mawili bibie[emoji12]Huku kwetu Nanjilinji network,inasumbua nimechoka kukaa juu ya mti,wacha nishuke nilale zangu...........nisalimieni best wa mie, jje's
Ahahahaaaaaa acha kabisa nimekumbuka mbali sana aiseehNi balaa nakwambia.
Naona mambo ya zile barua yamemkosha ney.
Niliadikiwa mie ina sentence ngumu hatariiii "nakupenda mpaka mfupa wa katikati" niliambiwa hivo weeee!!
Haika mshiki oko mcha, naomba uweke bili ya mbege kwa mwaka mzima bili kwangu[emoji40] .Hahahahhw hapo maneno mazuri. Ndo maana huwa nakumisi ati
Hukuuliza katikati ipi?[emoji85] [emoji85] [emoji85]Ni balaa nakwambia.
Naona mambo ya zile barua yamemkosha ney.
Niliadikiwa mie ina sentence ngumu hatariiii "nakupenda mpaka mfupa wa katikati" niliambiwa hivo weeee!!
[emoji57] [emoji39] [emoji12] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ya home hiyo tuma tuu barua haina madhara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni balaa nakwambia.
Naona mambo ya zile barua yamemkosha ney.
Niliadikiwa mie ina sentence ngumu hatariiii "nakupenda mpaka mfupa wa katikati" niliambiwa hivo weeee!!
Ewaaaa pale ko Makundi ama nifanye pale Kisa mboooHaika mshiki oko mcha, naomba uweke bili ya mbege kwa mwaka mzima bili kwangu[emoji40] .
Sio ya mapapai kweli?Usisahau kushuka huko mtini na maparachichi mawili bibie[emoji12]
Kwazamani hawezi kuwaza mbali, kila kitu simple tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hukuuliza katikati ipi?[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Najaribu kuwaza kwa sauti
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji106]Kwazamani hawezi kuwaza mbali, kila kitu simple tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa wewe mshiki wangu hata ukiweka bili kote ni jambo la fanaka kabisaEwaaaa pale ko Makundi ama nifanye pale Kisa mbooo
Hah hata sikuwaza tofauti.Hukuuliza katikati ipi?[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Najaribu kuwaza kwa sauti
Hahaha aliniambia yeye ni bonge miti yake ni miparachichi tu[emoji40] [emoji125] (Mungu saidia asione hii reply)Sio ya mapapai kweli?
Mmmh Mkuu asalaam alekhuum!!Kwa wewe mshiki wangu hata ukiweka bili kote ni jambo la fanaka kabisa
Alafu usisahau kuweka na bili ya [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji85]