Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 3,103
- 7,102
Ngoja karib wanakuja tu utawaona wanako tokea πππMuda wa kukabidhi unakaribia
Soon tutakuwa member humuKesho naanza na Super Villain ilitakiwa ndio aludishe funguo
Karib mkula
Nawaona mnataka kutoroka lindo, nawacheki tuKesho naanza na Super Villain ilitakiwa ndio aludishe funguo
Mpak tukabizi funguo kamanda πππNawaona mnataka kutoroka lindo, nawacheki tu
Muamshe usimuache alale...Muda wa sala huuLoneliness wanna kill me oneday! Huyu mchaga nae amelala tu
ππππItabidi tujuike kilingeni Hapa karib ghahawaLoneliness wanna kill me oneday! Huyu mchaga nae amelala tu
Nasikiliza Gospel laini hapa naisubiria maombi muda mfupi ujao.
Nimeshtua na kikombe cha tangawizi ilibaki Jana, dah inakwangua huko tumboni utadhani nimekunywa sanitizer aiseeeππππItabidi tujuike kilingeni Hapa karib ghahawa
Usisahau kujifukiza nyingine si unajua tamko la mkuu ni orderπππNimeshtua na kikombe cha tangawizi ilibaki Jana, dah inakwangua huko tumboni utadhani nimekunywa sanitizer aiseee
Safi sana...Morning Glory inaanza muda gani??Nasikiliza Gospel laini hapa naisubiria maombi muda mfupi ujao.
#NowPlaying - Upendo FM on @TuneIn Radio! Listen to Upendo FM on TuneIn
Na kwenye maombi asisahau kukemea corona ππ
Niko huku Madaba Songea nimefika Jana, huku wanafukiza na tangawizi... Huyu corona nadhani atajuta kuingia bongo.Usisahau kujifukiza nyingine si unajua tamko la mkuu ni orderπππ
Saa 12 kamili.
Nitumieni na sadaka kabisa aiseeeNa kwenye maombi asisahau kukemea corona ππ
ππππNaleta mkuuNitumieni na sadaka kabisa aiseee