MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
Inategemeana japo mara nyingi huwa wanakuwa hivyo. Sababu kuu siyo kwamba wanakuwa ni wajinga, bali wanahisi kama wanapoteza muda kusoma. Unajua elimu ina raha yake lakini pia ina madhara yake pia hasa pale ambapo inatumika kutekeleza malengo la kisiasa zaidi ya kuwaendeleza watu kwa kuangalia uwezo wao kama inavyotarajiwa: Inakuwa imejaa mifumo ya kipumbavu kama ulazima wa kutumia Rejea za watu waliopita.
Lakini amini nakwambia watu wenye akili nyingi sana huwa hata darasani wanakuwa n uwezo mzuri kama nchi itakuwa na mfumo mzuri wa elimu na walimu wazuri. Hapa watafaulu sanaaaa.......
Poa kamanda usiku mwema kwako.Ahaaa nimekupata Mkuu,
Tutasomana Kesho panapo majariwa [emoji3][emoji3]
Hulali leo au na wewe unasubiri daku kama mimi ?
Halafu watu mko macho,
Mkuu mi ndo naingia kwenye detail yangu ya ulinzi so naomba nikabidhiwe situation report.Bado nipo jamani report ipo wapi? Mpaka sasa naona absent wengi sana vp..
Hahaha wanajua kutumia hayo majiko wamekuja kukusaidia. Mkuu unajiandalia daku mwenyewe nini?View attachment 1429633View attachment 1429633
Saa 0329,Jiko limenishinda kuzima jamani msaada: No Escape mimi hivi hili jiko mnazimaje jamani naadhirika huku mwenzenu!
Naona walinxi wengine wote wamezidiwa. Hapa tuko mimi na wewe mkuu Hakikisha post yako iko salama muda wote.
Naona walinxi wengine wote wamezidiwa. Hapa tuko mimi na wewe mkuu Hakikisha post yako iko salama muda wote.
Kesho zamu yao maana si kwakulitelekeza lindo hivi.
Kesho zamu yao maana si kwakulitelekeza lindo hivi.