Morning Groly au? ππIna maana hujui kuwa huu ndio muda wake au unanizuga?
Atakuja ngoja tumpe muda kidogoAmekuwa mvivu mno, sijui anakitambi!! π
Mrembo shikamooMuda so mrefu atapita kugawa likes Hahahaa Mjep usinipite
Nawezaje kurudia kosa tena??Elli Mshana usijesema sikukushtua. Wakati umetaradadi usije leo ukaua mtu kwa kukosa daku kama jana
ππππ nilivyoona kimya nikajua utakuwa unaufinya mkuuNawezaje kurudia kosa tena??
Nilipanda mlimani kwenye maombi ndugu yanguππππ nilivyoona kimya nikajua utakuwa unaufinya mkuu
Na sisi ulitukumbuka mkuu?Nilipanda mlimani kwenye maombi ndugu yangu
Nilianza na wale watukutu woteNa sisi ulitukumbuka mkuu?
COVID-19 ulimweka kwenye kundi lipi?Nilianza na wale watukutu wote
Hii tulishaiombea three days lakini naona kama vile haisikiii maombiCOVID-19 ulimweka kwenye kundi lipi?