Kama alikuahidi lazima atekeleze, komaa nae ahadi ni deni hadi akulipeHuyu mzee ni mtata sana alinipa ahadi ya kitu fulani naona jana kani badilika ghafla saiz ananiambia haiwezekani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mchongo mchongo eti dah simiss
Ahh ushaanza kufunguka
Hahah nyie Jamaa mnawezanaEm angalia hili jina Mnazareth .. ukijitia jeuri nakuwa myahudi af nakusulubisha tu.. pindua uone
Haina ubishani hiyoMgeta bhasi Super Villain officcially mluguru
Haruki huyo nakwambiaBro πππ Super Villain je una chochotw cha kujibu
[emoji23][emoji23][emoji23] siwezi sungumzia mtu ambaye hayupo newcomer kwani ni nani jamani [emoji41]Bro [emoji23][emoji23][emoji23] Super Villain je una chochotw cha kujibu
Dedication yako kwajili ya BDAY [emoji23][emoji23][emoji23]
Okay Thanks...Siku Moja Karaoke ihusike basi !!?Andia Arie- Purify me
Karaoke fresh sana tena napiga na kikolomije kunogesha
Huu ujumbe mzito huu mzee mwenzangu
Dedication yako kwajili ya BDAY [emoji23][emoji23][emoji23]
Uliona gere mwenye hiyo yako sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dadeek sitaki [emoji23][emoji23]
Duh Mie nitapiga za Kingazija zile unazijua!?Karaoke fresh sana tena napiga na kikolomije kunogesha
Nakuunga mkono hayupo. Cha muhimu hakikisha uvungu unatosha π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23] siwezi sungumzia mtu ambaye hayupo newcomer kwani ni nani jamani [emoji41]
Ewaa tutapiga za muchachacho kama zote