bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Uzima mama upo sema tu ndo tia maji tia maji tu maana shamba langu la mapapai limeshajambiwa na mzee imebidi niwaachie ndege tu waleeee mpaka wafe na CoronaNimemuona..uzima upo?
Hii mikwara umeanza lini? [emoji17]Dogo nitakubonda ohooo
Hizi saa za saudia au
Naona nasinzia ndo maana
Niachieni lindo hili, kama kawaida yangu.Lindo si tunamuachia Jurjani
Daku ishalika lknNiachieni lindo hili, kama kawaida yangu.
Ulale2:05
Naona leo uko vizuri mpaka majogoo unafika leo2:05
Mpaka nilale niamke ndio daku inaliwa, kama umekula daku kabla hujalala na kuamka hicho ni chakula cha usiku.Daku ishalika lkn
Nalala mdogo wanguUlale
Nani huyo ?Huyu kaenda kula daku mwenyewe...