Kwa mtindo huo unaweza maliza mfungo mwezi mzima bila kula daku, zaidi unakula chakula cha usiku.M nikilala mida hii kuamka ni saa06 asubuh ila haya masaa3 hapa katikati sishtuki
Wooow! Zawadi gani?chiqutitta nina zawadi yako kwa kutupatia "likes" bila hiyana.
Kinyume chake.Ukweli ni upi
Sana
Nitakwambia sirini.Wooow! Zawadi gani?
Uwe unatupa na tarjama aisee tupate kuelewa maneno.Never forget who you are, for surely the world won’t.
😴😴😴
Chukua video hiyoAkon - lonely [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Good night guys.
Akikujibu nistue.Tumuulize Depal atakua na jibu
UsijalAkikujibu nistue.
Ushakula chakula cha usiku ?Tumuulize Depal atakua na jibu
Nishakula yes[emoji23]Ushakula chakula cha usiku ?