JamiiForums Usiku wa manane

Nipatie chai kwanza tukisubili kahawa jikoni kisha AL kasusi ipoe kwanza mkuu msinipe funguo ukinipa Na mjani aisee naweza nikawafungia ndani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa package hiyo mkuu usishangae usipopata usingizi wiki zima..
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Wala ugoro na pariki mdo hawahitaji music wale maana stimu sekunde10 uko high
Ugoro una stimu mbaya asikwambie mtuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sijawahi kutumia ila kuna mwanangu alikuwa anatumia, basi akishapiga vitu anakuwa hasomeki, macho yamechangamka kama anachungulia kitu. Halafu masikio yanaziba anakuwa hasikii vizuri.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna stimu nyingine miyeyusho sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…