Doh haya nimekusikiaI miss my love so much, pass my greetings to him, mwambie neybright hawezi kufanya chochote pasipo kuona uwepo wake.
Nilitaka nikukaribishe kifungua kinywa cha supu ya Nungunungu na Maini ya Mamba nilipoona hiyo 3-dimension voice nimegairiGuy's naenda kufua (in iceman 3D voice) love you all, and good morning [emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
Ha ha haaa mashemeji wengine makatili ujue ukitania kushika kiuno kelele mpaka kwa jirani huko hurudii tena.Ohoooh Shemeji shemeji huku wazima taa, kizuri kula na nduguyo (wahenga bhana mimi siwaamini kabisa)[emoji40]
Aisee basi sawa mkuu, hapo kidogo nimepunguza jazba.hahahaha ni heri aje aseme mwenyewe nisije kuonekana najisifu ati
Amepaona hapa mkuu hajui utam wakumfundisha shemeji huyuMfundishe mwenzio bhana, ujue nimetoka kukusifia muda sio mrefu, usiniangushe tafadhali
AminaMkeshe salama wapendwa katika bwana, nyote mseme amina [emoji120]
Hahaha mapenzi ni uongo mtupu, nashangaa ambaye hawezi kufanya chochote anatype vizuri kabisa tena bila kukosea[emoji40] (naota)I miss my love so much, pass my greetings to him, mwambie neybright hawezi kufanya chochote pasipo kuona uwepo wake.
AminaMkeshe salama wapendwa katika bwana, nyote mseme amina [emoji120]
Ooh jaman, basi ukimpata mpe pole mwambie nahitaji Posta address nimtumie barua
Oyoooo.!! Mr. Dirty headGate linafunguliwa
Popo wote ndio mda wetu.
[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]
Leo utakwepo mkuu?Popo wote ndio mda wetu.
Naona siku hizzi umerudia enzi zako?[emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]
Nitarudi baadae kidogo [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]