JamiiForums Usiku wa manane

Godzilla aliteseka na hiyo beat acha tu inakimbia sana alafu inataka pumzi sana.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Nilitaka nijizolee uzoefu wa mara ya kwanza, kuchana haraka kuwa siwezi sababu ya kigugumizi..saizi yangu ni kama zile za dizasta vina...ukinikimbiza tu hapo ushaniburuga mazima...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…