JamiiForums Usiku wa manane

Hata ningekusalimia usiniitikia......mbona Nleterewa Nganengo alikuwa ananichunia kila nikimsalimia?
Tafadhali usinichonganishe na shost yangu Neybright................
Salam siwezi chuna bhanaa labda mengine ha ha haaa

Umelaza dam shost yako ka kuwahi ha ha haaa Thad
 
Embu twende taratibu...mnaniambiaje bakora isiyoumiza wakati shogaangu Kibibi, kila akienda kuchapwa hiyo bakora na Chaupele huwa namsikia akilia?
Ha ha ha haaa ushawahi kumuuliza kilio chake ukajua kama ni cha maumivu au utam au hujui kua furaha yaweza leta kilio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…