JamiiForums Usiku wa manane

Pole sanaaaa wancheka kupitiliza ndo kilio maumivu hayafwati et wafunzi wanalalaga wenyewe ili wachapwe
Kweli eeh.....ngoja siku Kibibi na Chaupele wakijifungia ndani nitapiga chabo nione kama kweli analia kwa utamu au kwa uchungu
 
Aisee ndugu yangu si uje tu huko uliko mana si kwa kupetiwa huku sipati picha ukimuona tu utakavyo anza kuuma vidole na kujikanyaga tu
That's how the love working. Siunakumbuka alivyokuwa akinikosea kama hayupo nasema yote mbele yenu na akirudi nikimuona tuu mie hoiii sitaki hata anipe sababu, ah aha ahahaaaaaa love doesn't ask why? [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Nakubaliana na wewe na kuchukiwa pia hakuna sababu nazani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…