chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Mh!kwanza ulikataa kunipa hela nikanywe mwenyewe ukasema nikufuate vichochoroni ndo kuna supu tamu uongo??Kwani kukupendelea ww ni dhambi [emoji23] tena offer nimetoa hadharani unasema nilikuwa na yangu tena!
Namsikiliza tu kijana anavyoshusha mistari kwa my all and only.🤔🤔Kaka umechelewa mme wangu fyddell na mshenga alikuwa Super Villain [emoji16][emoji16]
[emoji4][emoji4][emoji4]Mtegoni tena [emoji23][emoji23] Aah sio kweli.
Pole sanaVery hurting extremely hurting..
Mshenga ameanza kukuita vichochoroni tena? 😌😨Mh!kwanza ulikataa kunipa hela nikanywe mwenyewe ukasema nikufuate vichochoroni ndo kuna supu tamu uongo??
Kwani uongo [emoji3]Alaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwongo [emoji23][emoji23] naanzaje kukupeleka ukanywe supu vichochoroni huko wakati migahawa mizuri ipo!Mh!kwanza ulikataa kunipa hela nikanywe mwenyewe ukasema nikufuate vichochoroni ndo kuna supu tamu uongo??
Hapo sawa sasa usilete siasa zako tena[emoji23][emoji23][emoji23] Wallah hii mask ni zaidi ya N95 haya nitafanya hivyo fundi.
Acha nikae kimya tu sina namna [emoji23]Kwani uongo [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23] nawezaje kuleta siasa kwa mara nyingine tena safari nafuata maagizo tu.Hapo sawa sasa usilete siasa zako tena
Hahaha we muache namuhurumia asije akala vichapoNamsikiliza tu kijana anavyoshusha mistari kwa my all and only.[emoji848][emoji848]
Ndio hapa nampa za uso mme hata wewe ni shuhudaMshenga ameanza kukuita vichochoroni tena? [emoji18][emoji32]
Mahari kalipa nusu anadeni ukweni huko [emoji23]Hahaha we muache namuhurumia asije akala vichapo
Bwana mshenga anajua ni jinsi gani mlivyosumbuka kupunguziwa mahari
Tena uwe makini katika kuyafuata hayo maagizo mshenga.[emoji23][emoji23][emoji23] nawezaje kuleta siasa kwa mara nyingine tena safari nafuata maagizo tu.
Aah ndio ulicho dhamira leo hiki [emoji23]Ndio hapa nampa za uso mme hata wewe ni shuhuda
[emoji3][emoji3][emoji3] ebu nipishe uko yani wewe hadi unataka kunipa 2000 tu baada me kukataa kufuatana nawe huko vichochoroni leo unakataa! !!Uwongo [emoji23][emoji23] naanzaje kukupeleka ukanywe supu vichochoroni huko wakati migahawa mizuri ipo!
Naona naona mke wangu that's why I love you the mostNdio hapa nampa za uso mme hata wewe ni shuhuda
[emoji23][emoji23] Limeisha hilo mzee wangu.Tena uwe makini katika kuyafuata hayo maagizo mshenga.
Zipo vizuri utazipenda hutojuta kuzivaa[emoji23][emoji23][emoji23] nawezaje kuleta siasa kwa mara nyingine tena safari nafuata maagizo tu.
Naona mshenga sasa anatafuta mengine kwa shemeji yake🤔[emoji3][emoji3][emoji3] ebu nipishe uko yani wewe hadi unataka kunipa 2000 tu baada me kukataa kufuatana nawe huko vichochoroni leo unakataa! !!