Labda hayo mengine ila hayo yanayosukumwa na moyo hayawezi kuifanya roho iume pasipo wivuHahaha mchanganyiko wa vyote[emoji85]
Vile vya kg 200 huna? uniwekee na hilo hindi unalolichoma kwa jua.....Hahahaha nina kuanzia kilo 5 mpaka kilo 100[emoji39]
Ninavyo sema hiyo package, inasumbua sana kwenye transportation[emoji39]Vile vya kg 200 huna? uniwekee na hilo hindi unalolichoma kwa jua.....
Haina shida mkuu,nina pundaNinavyo sema hiyo package, inasumbua sana kwenye transportation[emoji39]
Nafurahi kusikia upo poa mii pia nipo vizuri tu.Niko poa rafiki angu. Hofu kwako??mambo mengi naingia kwa kuibia Ibia tu
Sauti mbona hutoi sasaManga
Ohooo basi nikajua nipigwa chenga mkaenda wenyewe kumbe holaaaToka muende triple na Manga sijakuona tena hapa
Siku ukiwa na chansi sema tuandae mtoko basiOoh Okey mpenzi, nilidhani mmenikimbia ujue
Get limefunguliwa saa ngapi leo jamani?Nakuachia uwanja mamy,mashindano siyawezi japo nina bahati ya mtende..........
Aisee wewe leo umekomesha khaaaPopooooz........... njooni tutawale kabla bundi hawajaingia
Ohoooo mii basi vitakwepo ila sitahusika navyoPole kwa majukumu ya usiku........ umenitajia viroba akili ikastack kabisa,nimevimiss balaa
Fomula ya huu uzi ni saa 6:00 usiku mpaka saa 11 fajri itakua ulilala saa 12 jioni wewe si burePoleni sana.............huku ni saa 2:45 usiku
OkeySiku ukiwa na chansi sema tuandae mtoko basi
Hii DearHelo gud people
Hii Dear