Helo gud popoHelo gud people
KaribuOkey
Mic u plentyHii Dear
Mapopo kina Thad washalala waliobaki ni bundiHelo gud popo
Sijalala mwanangu utauawa bure, alele ale! Nimekumbuka ghafla huu wimboMapopo kina Thad washalala waliobaki ni bundi
Waenda club kweli,au waenda kumlaza KK?Duuh ukumbi umetulia sana
Ngoja niende club sasa
Uck mwema
Teh teh
Itakua kuku kabisa mana kafungua get saa 1 leoMapopo kina Thad washalala waliobaki ni bundi
Mithiiing you too babyMic u plenty
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waenda club kweli,au waenda kumlaza KK?
Teh teh hicho kicheko kimejieleza apo wee lala tuDuuh ukumbi umetulia sana
Ngoja niende club sasa
Uck mwema
Teh teh
Tupunguze muda kidogo wajameni...... usiku ni usiku tu,manane ni jina tu πππFomula ya huu uzi ni saa 6:00 usiku mpaka saa 11 fajri itakua ulilala saa 12 jioni wewe si bure
Umeona eeh!Teh teh hicho kicheko kimejieleza apo wee lala tu
Unamaneno matamu ni vile tu unamwambia mwenzio teh yehMithiiing you too baby
Hahahah! Nleterewa Nganengo kaniita kuku kisa nimefungua geti muda wa kulala kukuGet limefunguliwa saa ngapi leo jamani?
Utaondoa tamu yake ngoja ibakie hivyo tuTupunguze muda kidogo wajameni...... usiku ni usiku tu,manane ni jina tu πππ
Siwaelewi mtu na shemeji yake..........Unamaneno matamu ni vile tu unamwambia mwenzio teh yeh
Hahahah! Basi sawaUtaondoa tamu yake ngoja ibakie hivyo tu