Sijapokea hata senti kumi zaidi ya balimi mbili[emoji40] zakunituliza mzuka niliokua nao baada ya kuona Dada yangu unapambana na mdukuzi Thad na Ka-amani[emoji12] [emoji85] [emoji125]Duuuh ushapewa mahari nn my kaka
Tupooo
Nimepita tu kukusalimu wii,hujamboTupooo
kama kawaida
Hahaha alafu ujue nimeshangaa napita hapa Lilongwe naona usafiri wangu unasoma signal zako, uko karibu nini[emoji40] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Wanga katika ubora wao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wachumba nenda love connect mkuu, huku huwa zinatafutwa mbinu za kuwanga na kuloga tu[emoji40]
Jf usiku wa manane
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahaha alafu ujue nimeshangaa napita hapa Lilongwe naona usafiri wangu unasoma signal zako, uko karibu nini[emoji40] [emoji125]
Mbona hufiki sasaaaaUnaenda wapi na spidi Kali namna hiyo, simama basi nikusindikize[emoji39]
Gps yako matata, uliweka signature yako mahali nn? I mean kwa mhusika[emoji12]Hahaha alafu ujue nimeshangaa napita hapa Lilongwe naona usafiri wangu unasoma signal zako, uko karibu nini[emoji40] [emoji125]
Ndo kwenyewe hata hujakosea, sare zetu ni kaniki nyeusi na kitambaa chekundu kwa mkono na kichwa[emoji39]Jf usiku wa manane
Hahaha ukiona mpambano unakua mkali sana wala usitie shaka, we si unamuona mke wa rais wa Ufaransa anavyoenjoy, ile ni kazi ya mikono yangu[emoji6]Ktk tafiti zako umeona kama nitashinda kweli? Maana mpambano ni mkali halafu KK anashindwa aamue vepeee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mmmh bado sijaelewa hizo sare zinavaliwa wap[emoji16]Ndo kwenyewe hata hujakosea, sare zetu ni kaniki nyeusi na kitambaa chekundu kwa mkono na kichwa[emoji39]
Hahaha punguza mwendo kidogo basi, niko nadrive sema usafiri wangu ulipata hitilafu kidogo nilisahau nikapita karibu na nyumba ya ibada[emoji39]Mbona hufiki sasaaaa
Hahaha hapana kwakweli hii ya kwangu inadetect hata kama mhusika hajawasha location[emoji12]Gps yako matata, uliweka signature yako mahali nn? I mean kwa mhusika[emoji12]
U made me nicheke kwa nguvu loooh[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]Hahaha ukiona mpambano unakua mkali sana wala usitie shaka, we si unamuona mke wa rais wa Ufaransa anavyoenjoy, ile ni kazi ya mikono yangu[emoji6]