Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Kasema hakuamini tena, kasema amechoka kuona kila siku sketi mpya inagonga getini kwako[emoji12]Sikumuona aiseeh leo jirani mbona hakunishtua waki huo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yule ni jirani kipenzi amenivumilia mengi sana na ananisaidia mengi mno Neybright hawezi nifanyia hivi jiranKasema hakuamini tena, kasema amechoka kuona kila siku sketi mpya inagonga getini kwako[emoji12]
Ohoooh hii ilikua ni janja ya nyani, ili angalau arudi akaishtukia, akasema bado anamalizia ile offer yako ya vinywaji[emoji24]Ni mda sijamuona nijasikia kuna vitu mnafundishana tena mpo wawili tu we na Thad[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Yule ni jirani kipenzi amenivumilia mengi sana na ananisaidia mengi mno Neybright hawezi nifanyia hivi jiran
Kwa mikono miwili kabisa Thad mbona aliniaga akasema ana vitu muhimu kwako huko na sare ukampa yeye tuOhoooh hii ilikua ni janja ya nyani, ili angalau arudi akaishtukia, akasema bado anamalizia ile offer yako ya vinywaji[emoji24]
Tafadhali mkuu, mrudishe tu hata kwa siku moja.
Hahaha huyu Thad mjanja sana, alinichomesha mahindi na sare zangu wala hakutoke, labda tumsubiri atoe jibu yuko wapi[emoji40]Kwa mikono miwili kabisa Thad mbona aliniaga akasema ana vitu muhimu kwako huko na sare ukampa yeye tu
Hapana jamani, nipo kwenye ujenzi wa taifa [emoji28] [emoji28] [emoji28]Naona ulipitiwa na[emoji42] [emoji40]
Au ulikua unamfaidisha jirani mpiga chabo[emoji85] [emoji125]
Sasa tugombanishe na jirani yangu kipenziMbona kaniambia ameona kivuli chako kikiwa kazini (kwenye chabo).[emoji125]
Hahaha wacha weehWanachonga sana juu ya ujirani wetu,
Hahaha ujue huyu jirani yako ana roho nzuri sana ya kusaidia mabinti[emoji12]Sasa tugombanishe na jirani yangu kipenzi
Jirani kipenzi nashukuru sana maana unanisaidia mnoWanachonga sana juu ya ujirani wetu,
Kabisa nimefurahi kukuona jirani maana toka uanza safari zako za huku na kuleSasa tugombanishe na jirani yangu kipenzi
Hahaha na kweli jirani yako sio mchoyo wa msaada, mpaka chabo kakuruhusu kiroho safi[emoji42] [emoji125]Jirani kipenzi nashukuru sana maana unanisaidia mno
Thad hebu njoo umchukue huyu ndugu yangu haraka huku[emoji125] [emoji125]Hahaha na kweli jirani yako sio mchoyo wa msaada, mpaka chabo kakuruhusu kiroho safi[emoji42] [emoji125]
Eeeh!!Jirani kipenzi nashukuru sana maana unanisaidia mno
Hahaha ujue katika majirani wote duniani nyie ni mfano wa kuigwa, vijana wa sasa wanasema mmefika level ya kutumia mswaki mmoja[emoji12]Thad hebu njoo umchukue huyu ndugu yangu haraka huku[emoji125] [emoji125]
Hahaha hawa majirani raha sana, mpaka wanaalikana kuoga (wasisome hapa)[emoji125]Eeeh!!
Cc:kijana yule[emoji23][emoji23][emoji23]
Mali zake zaliwa huku kwa kisingizio cha ujirani
Soon nitarejea jirani yangu I will find youKabisa nimefurahi kukuona jirani maana toka uanza safari zako za huku na kule
Sasa niharibie kwa shemeji yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha na kweli jirani yako sio mchoyo wa msaada, mpaka chabo kakuruhusu kiroho safi[emoji42] [emoji125]