Ataweza wapi [emoji23][emoji23][emoji23]. Hapo unabeba lawama za bure kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawezi vumilia shida huyo sio?
Njoo lindoSasa warembo wangu @chiquttita,@rowin,Saint Anne na yna2 mlale salama wakuu 2316
Ndio hivyo sasa labda uwe na collection yako. Otherwise, huwezi sikia. Kipindi hicho duh ukiingia club hizo ngoma ndio zinabamba mbaya.Saiz utazisika kwenye simu yako hukuti hata redioni wakicheza hizo nyimbo muda umeenda sana TBT
Usimalizie utapewa ban kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ataweza wapi [emoji23][emoji23][emoji23]. Hapo unabeba lawama za bure kabisa.
Umenikumbusha tulikuwa tunacheki pilau huko uboyzini. Kuna mwamba tumekaa nae nyuma kabisa ya darasa. Goma limekwisha tunashtukia tupo pale kwenye screen [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Sasa jiulize alifikaje ilhali hata hakunyanyuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mihayo DP jana ilisemekena ni fundi sana wa ndoto nyevu. Saa hii labda atakuwa ndotoni [emoji23][emoji23]. AndaKava atathibitisha hili.Njoo lindo
huwa napenda sana kusikiliza nyimbo ambazo nilikuwa nasikia kipindi nakuwa zinanirudisha utotoni.Ndio hivyo sasa labda uwe na collection yako. Otherwise, huwezi sikia. Kipindi hicho duh ukiingia club hizo ngoma ndio zinabamba mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh noma sanaUsimalizie utapewa ban kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sura nyingi zimepotea humuHata mm itafikia siku sitakuwepo watakuwepo wengine tunapeana shift hapa [emoji4]
Noma na nusu [emoji4]
Hiyo ndio feeling halisi ya muziki. Inakupeleke kwenye matukio ambayo si rahisi kuyakumbuka. Mathaalani enzi hizo ukiandikiwa barua na manzi wako lazima achore maua na makopakopa then unapigwa bonge la dedication song. Hapo barua utalala nayo wiki nzima unasoma [emoji3][emoji3]huwa napenda sana kusikiliza nyimbo ambazo nilikuwa nasikia kipindi nakuwa zinanirudisha utotoni.
Ee sisi tutapita itakuja new generation nao watafanya yao muda kama huu.Sura nyingi zimepotea humu
Aisee nimekula sana pipi fulani hivi za kopa kopa [emoji23][emoji23][emoji23] zilikuwa nikama dawa sijui kama unazijua.Hiyo ndio feeling halisi ya muziki. Inakupeleke kwenye matukio ambayo si rahisi kuyakumbuka. Mathaalani enzi hizo ukiandikiwa barua na manzi wako lazima achore maua na makopakopa then unapigwa bonge la dedication song. Hapo barua utalala nayo wiki nzima unasoma [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazijua. Sasa kabla ya hizo kulikuwa na peremende za duara halafu zina mistari ya rangi nyingi kama upinde wa mvua.Aisee nimekula sana pipi fulani hivi za kopa kopa [emoji23][emoji23][emoji23] zilikuwa nikama dawa sijui kama unazijua.
Zilikuwa za vijiti?Nazijua. Sasa kabla ya hizo kulikuwa na peremende za duara halafu zina mistari ya rangi nyingi kama upinde wa mvua.
Maisha haya kweli kila kitu na wakati wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Usingizi mwingi boss
Hizo za makopakopa zilikuwa za vijiti ila hizo peremende hazina vijiti ni kama golori hiviZilikuwa za vijiti?
[emoji1787]Huyu Mihayo DP jana ilisemekena ni fundi sana wa ndoto nyevu. Saa hii labda atakuwa ndotoni [emoji23][emoji23]. AndaKava atathibitisha hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Such is a fact about life.....Ee sisi tutapita itakuja new generation nao watafanya yao muda kama huu.