JamiiForums Usiku wa manane

Nilienda kwa Mganga ndo narudi now niende kwa Babu yako
[emoji1787][emoji1787]Muongo kwa status zile na nguo ile umetoka kwa mchepuko.
Babu ukienda weka sura ya kazi chimba mkwara sana.
Mie nimechimba sana mkwara leo kwenye simu ametuma na mawasiliano yameisha.
Sasa mchekee chekee mwisho atakutongoza vizee vya mjini hivo.
 
Sijakubali maana ndoto nyevu huambatana na mtoto mrembo. Sasa generator ambalo ni bati na vyuma kwa kweli inapaswa Stephen Chelu aje athibitishe.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mkuu hata mimi huwa sielewi ilitokeaje, labda nilikuwa na mood sana siku hiyo....

Halafu wewe drizzle na super villian siku za mbele nije kuwa mkuu wa wilaya au kibosile flani hivi halafu mfukue makaburi haya sijui nini nyevu, ntasweka wote rumande hamtakaa muamini yaani.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ujue we jamaa duh! Upo vizuri kwenye comedy.

Hayo makaburi hakuna atahaingaka nayo na pia tutaheshimu mamlaka πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…