[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dr.kanambia nilale mapema ili nikue haraka 🙂🙂🙂🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mhhhhh utamfanya akimbie kijiwe siunamjua jirani yangu alivyo, kwenye mambo ya kujibu tuhuma hajiwezi jamani
Ha ha haaaa umejuaje?Asante dear. Maana tuhuma za huku zimemkimbiza huwa anachungulia watu wakishalala wote.
Anakuja na fujo zote ili watu wasimuulize kitu
Yani lisaa tu utajiita bundi apoSpeed ya humu imepungua sana na huwa siwez kusubir
Acha niwaage uck mwemeni wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji113] [emoji113] [emoji113]Imeandikwa kila mtu ataubeba msalaba wake, jitahidi tuu ujiombee mwenyewe [emoji28][emoji28]
Umesemaje?Ulale salama mpenzi
Niwe nae ama nisiwe nae wewe haitokusaidia chochote, jitahidi kuuliza maswali yenye tija [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huna mume?
Anyway umejibu kibabe...najaribu kutafuta experience tu wanayoipata waume ambao wake zao ni team popo!Niwe nae ama nisiwe nae wewe haitokusaidia chochote, jitahidi kuuliza maswali yenye tija [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha!! aisee haya banaImeandikwa kila mtu ataubeba msalaba wake, jitahidi tuu ujiombee mwenyewe [emoji28][emoji28]
hmm..! asante kwa kunijuza nilikua sijui hiloShem bhana, ukiwa JF inaitwa PC au tablet bhana
Duuh
Nimekumiss kweli kweli japo napita siku hiziHello from this side. Where are you Manga ML Kichwa Kichafu
Ni kweli jana nimekuota Thad tena ulikuwa muhusika mkuu sikutamani ndoto iishe.Naona leo bundi wote chalii
Nleterewa Nganengo
Neybright
Manga ML
jje's
Kichwa Kichafu
Gentries n.k
Mlale unono,mniote eeeh!
Kichwa hivi Inna yupo wapi now days?
Jirani yangu ana mambo mengi hadj nasahau nielezee kipi niache kipi vyote vitu adimMmmmh! kwani na wewe ni dokta? Mbona jirani yako KK hajanambia?