Kheri kabisa kwako niaje?wana jamvi habari za usiku
Hahahaha swali zuri hili mkuu, hebu akupe ufafanuzi wa hili jambo.mhh hapo una maanisha nin, ukiandika Nleterewa Nganengo amsalimie Thad
kwangu heri pia mkuu naona mnawakilisha vyema jukwaaKheri kabisa kwako niaje?
Na kweli hadi chabo siku hizi ni nothing else[emoji39] [emoji12] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa jirani yangu, ila mwambie jje's kwamba mimi na wewe ni majirani tunaopendana tuu nothing else.
Salama Bundi Max, karibu kilingeni.wana jamvi habari za usiku
ahsante sana mwenyekiti nami najumuikaSalama Bundi Max, karibu kilingeni.
Kama kawaida tupo ila leo naona watu wanajirusha viwanjakwangu heri pia mkuu naona mnawakilisha vyema jukwaa
Wewe ndo una amka naona wenzio hatukulala na bado tupoNdo kwanza usiku haujafika mmeshalala
Unafanya nini saa hizi mkuu?Msilale bana, mnaniangusha, ndio kwanza 03:20
Naangalia movie ya kihindi ya long time "MARDI"Unafanya nini saa hizi mkuu?