JamiiForums Usiku wa manane

Kuna fala juzi anasema huo mdundo travis kaiba [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] alikuwepo wapi muda wote inamaana hakusikia nyimbo wakati inatoka ama alikuwa anataka stunt.
Nyimbo kali sana, nausikilizia huo wimbo kwenye headphone [emoji442] za Sony mhmhh shida shida pita mbali mzee...... Ndiyo hivyo kuna watu huchukulia point kwenye vitu hawajavitolea jasho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…