JamiiForums Usiku wa manane

Yes south african

Ila kwa best rapper in africa kuna msichana 1 th ambae ni shoo madjozi huyu akafie mbele kuna wanaosound vizuri zaidi yake
unani furahisha sana ww leo πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† shoo anamaajabu gani sasa verse mbovu.
 
leo ndio nimejua kuwa husikilizi music wa Africa hususa kwenye Hip Hop nimemaliza sitabishana na ww lakini shoo hamuwezi huyo dada show anajiimbia tu hata sound umeshindwa kunote mtu anavyo flow!
Hata tukibishana hakuna anaefaidika sana tutachoshana,
mziki uliotaja siskilizo yes na sijawahi sikilizs,
Period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…