JamiiForums Usiku wa manane

Duh umenipa position tayari?!
Nimeongea kile nikifahamucho kuhusu hip-hop
Nimeliona neno lako
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 upo vizuri docta Dre
 
That's good of you. Kila mtu anachokipenda hasusani kwenye music. Mi kwakweli bongo flavour ya sasa siipendi kabisa.
Matusi mengi wamekuwa sio wabunifu tena maudhui hawana kabisa siku hizi wamebaki watu wachache wasioimba matusi.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 upo vizuri docta Dre
Yeah nimepewa nafasi adhimu kwenye mziki wa Hip-hopπŸ˜€πŸ˜€
Umejuaje? Namkubali sana Dr Dre
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…