Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Never Back down vp?Huyo Michael Jay-White huwa simzingatii sana, japokuwa nae character yake imeshuka sana..
Kwa mfano kwenye movie ile ya TRIPLE THREAT, sio yeye tu ila kwa ujumla ilikuwa ya kawaida.
Wamewajaza mastaa na fujo kibao mule ndani ila bado sijaona cha kushangaza saana mule.
Jay-White ninaemfahamu mimi ni yule wa UNDISPUTED na kuna movie nyingine alipigia Brazil. Zile zilinoga sana kuliko huyu wa sasa!
hilo nakubali story ilikuwa ni mbaya.Utumbo mwingi pia. Hakukuwa na ubunifu.
Naweza sema waandaaji wa story walikurupuka!
Hiyo sikupata nafasi ya kuicheki.. Vipi iko vizuri tuitafute?Never Back down vp?
Ranchoddas shamaldas chanchad.Three idiots📺
Tafuta hiyo angalia hutojuta.Hiyo sikupata nafasi ya kuicheki.. Vipi iko vizuri tuitafute?
Movie of all the timeRanchoddas shamaldas chanchad.
Movie ile walikurupuka kwa kwel maana waigizaj wakali ila storry ni kama bongo moviehilo nakubali story ilikuwa ni mbaya.
😆 😆 😆 😆 kuna rafiki yangu anaipenda sana huwa hachoki kuiangalia.Movie of all the time
Mwanzo inaanza kwa kishindo mbeleni ni utopolo hakuna kitu mwisho ndio mbaya kweli yani..Movie ile walikurupuka kwa kwel maana waigizaj wakali ila storry ni kama bongo movie
Hii nimewahi kuirudia zaidi ya mara 5 kwenye venue tofauti tofauti.. Good quality, good story, best indian movie of all the time!Three idiots[emoji342]
Mzuka[emoji109]Tafuta hiyo angalia hutojuta.
Angalia movie kama Ipman 4 don na scott yani yale mapigano unaenjoy kabisa director alitendea haki kabisa ile movie.Yaah! Hiyo ndio factor kubwa zaidi..
Story inafurahisha, huzunisha sana na kuumiza pia ni bonge ya movie.Hii nimewahi kuirudia zaidi ya mara 5 kwenye venue tofauti tofauti.. Good quality, good story, best indian movie of all the time!
IP Man zote ni moto[emoji91][emoji91] hiyo haipingwi!Angalia movie kama Ipman 4 don na scott yani yale mapigano unaenjoy kabisa director alitendea haki kabisa ile movie.
Imeisha hiyo nazani madirector kama wale ndio wangekuwa wanatengeneza movie anacheza Scott angekuwa ni A list actor.IP Man zote ni moto[emoji91][emoji91] hiyo haipingwi!
Kabisa manImeisha hiyo nazani madirector kama wale ndio wangekuwa wanatengeneza movie anacheza Scott angekuwa ni A list actor.
Kingine kinachomfelisha ni muingereza Scott.Kabisa man