chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Ahsante sana Super Villain ubarikiweOoh furaha ya kuzaliwa gal Mungu akubariki na akufanikishie kila uliombalo kwake uishi maisha marefu tuzidi kukuona kila siku ukiwa na furaha tele kwenye maisha yako ya duniani hapa [emoji323][emoji322][emoji324][emoji312][emoji313][emoji320][emoji3531]
Thank you [emoji120]Happy happy birthday
Kumekuchaaaa kumekuchaaa wamekuja mpaka hukuuuu kuvuruga amani yetu kidogo tulonayo.Mwamba anaendelea vizuri, View attachment 1481962
Team Gemini forever [emoji91] toa location tulete zawadi tule na keki kabisa [emoji23]Ahsante sana Super Villain ubarikiwe
Thanks ila keki uilete mwenyeweHappy birthday to you.
Najitolea kula keki buuuuuure kabisa
Weka handle yako nikufollow[emoji28][emoji28][emoji38]naingia kumsaka kigogo na habari zake zakutisha pia halafu natembea
Happy nepi day babesWalinzi wenzangu June 18 mrembo alizaliwa happy birthday chiqutitta
Happy birthday.Walinzi wenzangu June 18 mrembo alizaliwa happy birthday chiqutitta
HappyBorthiday bibie, tunakuombea kheriWalinzi wenzangu June 18 mrembo alizaliwa happy birthday chiqutitta
Gemini ni moto location nitaitoa kesho hasubui ila mshenga zawadi iwe ya maanaTeam Gemini forever [emoji91] toa location tulete zawadi tule na keki kabisa [emoji23]
[emoji38][emoji38]huyo kavuka na mipaka hadi ananakili?!Jamaa ana wafuasi kibao walahi[emoji28] siku moja nipo kwenye bus naona dingi mtu mzima kweli kweli kila baada ya muda kidogo anaingia kwenye page ya jamaa na atachokikuta ana nakili sehemu.
Thank you darling ukuje kesho ule keki kidogoHappy nepi day babes
Enjoy ur day .boo[emoji322][emoji322][emoji322][emoji323]
[emoji38]yangu nitakupaWeka handle yako nikufollow[emoji28][emoji28]
Location[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]Thank you darling ukuje kesho ule keki kidogo
Shukrani sanaHappy birthday.
Nimekuwa mvivu ku Google hiyo Gemini maana yake ni nini mkuu?Team Gemini forever [emoji91] toa location tulete zawadi tule na keki kabisa [emoji23]
Amen asanteHappyBorthiday bibie, tunakuombea kheri
[emoji23][emoji23][emoji23] Lazima nizingatie hilo swala ww tena lazima zawadi iwenzito na kubwa ili nisidharilike kesho [emoji91]Gemini ni moto location nitaitoa kesho hasubui ila mshenga zawadi iwe ya maana
Nitakuambia inibobo [emoji6]Location[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
[emoji23][emoji23] Ni nyota ya Mapacha.Nimekuwa mvivu ku Google hiyo Gemini maana yake ni nini mkuu?