JamiiForums Usiku wa manane

Wacha kutufanya sisi mapoyoyo chalii yangu. Umesema suti nyeusi mbona hiyo ya blue kama umetoka kwenye kurekodi wimbo wako mpya wa kwaya mzee.

Kiatu imetulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo suit ni miaka 12 ndio nilivaa nitakuwa nayo mpaka leo mzee wangu [emoji15]

Hiyo suit ya blue ilikuwa ni dressing code inasema suit ya blue na tai ya maroon ndio niliumiza hivyo kwenye hiyo picha hapo ndio nilikuwa nafika nikapata kupiga picha moja ya kumbukumbu [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…