JamiiForums Usiku wa manane

Kama nakuona vile...

Napenda sana mtu akipendeza, sio mchoyo wa kusifia kabisa...tupia dogo nikusifie [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza Tai yenye nilimuona jux kavaa na mm nikaitafuta hiyo hiyo nikapata nayo kwenye huo usiku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwezi kunichota ukaiyona hiyo picha alafu mbaya zaidi sikuwahi post kokote hapa ndio mara ya kwanza nimepost huwa napost nikivaa matrack na Jeans tu.
 
Kwa maana hiyo huna kumbukumbu ya hilo tukio? Basi hiyo itakuwa zile style za mchele mchele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii acha hizo dogo. Una bahati PM yangu imeharibika la sivyo ningekuja kuiona.

Hizo track zisiwe tu zile Adidas, vijana wa Mwananyamala wanazimodoa mpaka ukimuona unajisikia hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…