JamiiForums Usiku wa manane

binafsi napenda sana kampani ya mademu wanaovuta bangi, wanatumia kilevi kwa staha pia.
 
alisema yule mbunge wa kahama kua bangi ni tiba hvyo ihalalishwe tu na watu waanze kulima... BTW mi tayari nna shamba kule Iringa(mafinga_mufindi) nasubiri waidhinishe tu, nianze taratibu za kilimo, na kutafuta mbegu.
Inabidi uanze kufanya rerearch mapema sana ya kujua mbegu bora ni ipi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu nasikia haina hata makuu inajiotea tu.
 
@amu unajua kibongobongo tunakosea sana ku judge mtu kwa appearance yake au matendo yake. Kuna mtu hawezi kutekeleza majukumu yake kama hajashtua cha R chuga.

Wenzetu wa mbele wanaangalia zaidi perfomance hayo mengine ni personal na hayatuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…