JamiiForums Usiku wa manane

Hahahaha, mie mwenzio nishatekwa ,sasa na hamishwa sijui napelekwa wapi ,ukiona kimya ujue mtekaji na mtekwaji wameelewana Ransom
Duh! Kwa hiyo umetekwa na mmoja au wote wawili? Kama ni mmoja huyo mwingine kabaki wapi nami nije aniteke.

Mzee kama nakuona vile unavyofurahia kutekwa asubuhi hii [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…