Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Mkuu naona [emoji482] [emoji482] [emoji481] inasababisha bawaba za macho zilegee, ngoja nielekee kwenye kiota changu[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hakuna namna bakora itumike ipasavyo mkuu
Sita kuangusha kamanda [emoji23]Nakuamini sana Kamanda[emoji123]
Utakua umenisaidia na mimi mkuu kesho nayo ni sikuMkuu naona [emoji482] [emoji482] [emoji481] inasababisha bawaba za macho zilegee, ngoja nielekee kwenye kiota changu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Juzi,jana na leo
Naona leo mmewahi kusaini,tatizo lenu mnasaini na kuondoka [emoji18] [emoji18]00:02
00:05
Nimekwisha fungua ndio maana naenda kulala nina gunia 12 za usingizi na ndotoJamani mwenye ufunguo wa geti naomba,nataka nifungue nikalale zangu maana leo nina usingizi debe 7......
No Escape
jje's
Neybright
Manga ML
Nleterewa Nganengo
Kichwa Kichafu
dingi mtoto
Nani anaufunguo kati yenu?
Nimekuona baada ya kipindi kirefu00:05
Nilijua tu......mzee wa kusaini INN-OUTNimekwisha fungua ndio maana naenda kulala nina gunia 12 za usingizi na ndoto
[emoji125]Naona leo mmewahi kusaini,tatizo lenu mnasaini na kuondoka [emoji18] [emoji18]
Nakuachia kijiti uniwakilisheNilijua tu......mzee wa kusaini INN-OUT
Msalimie jirani yako Ney, japo nakuona una spidi ya kumuwahi jje's[emoji125]