Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Watatueleza vizuri wanasoma nini na viroba wanatoa wapi wakati huu. [emoji23] [emoji23]Nahis wanakunywa viroba kwanza na cjui wanavipataje huko waliko
Thad tafadhali tuletee Nleterewa hapa
Jana kuna dili walipanga Manga ML na Nletetewa Nganengo.....sasa nilitaka niwatibulie kwa mama chanja wake [emoji12] [emoji12]Chaaa.!!!kwanini?
Aaaaaa kivipi sasa?Utawaweza Nganengo na Manga! Walitaka kunipotosha nikawastukia [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kafanyaje na ungemsemea kwa nani huyo?Bahati yake Manga ML,ningemsemea sasa hivi
Mmm hapana ndo hata kuja kusaini?Kwani hata nilienda maeneo basi...wala hata,nilikuwa home tu
Unistue nnaham kweliChaaa.!!!kwanini?
Tueleze tuijue bhana[emoji12] [emoji8][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]naenda kutazama series angu pendwa jamani. Nitawachek ikiisha kama mtakuwa hamjashuka kwenye hili basi
Hiizi huku wala usitumie nguvu kuzifata mbaliBalimi[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ntasubili kuchekiwa tu ndo ni lale[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]naenda kutazama series angu pendwa jamani. Nitawachek ikiisha kama mtakuwa hamjashuka kwenye hili basi
Ni dili hani hilo?Jana kuna dili walipanga Manga ML na Nletetewa Nganengo.....sasa nilitaka niwatibulie kwa mama chanja wake [emoji12] [emoji12]
La darasa la wawiliNi dili hani hilo?
Ahasante kumbe tupo wote haya mii siendi kwanza kuna kitu nasubiliManga naona umeachwa mwenyewe
Naomba nikutakie uck mwema best
Kwa mama chanjaKafanyaje na ungemsemea kwa nani huyo?
Hilo ulipanga wewe mwenyewe kuna unachotaka kujua wala usinisingizieLa darasa la wawili
Endelea kusubiri, mi wacha niungane na wenzetu waliolala.....japo najua wameshaniacha kwa ndotoAhasante kumbe tupo wote haya mii siendi kwanza kuna kitu nasubili