Na nguzo hii hapenyi mchwa wala siafuJiko lipikalo maajabu , enjoy mapishi
Humo ndani sasa nick na Agust wanalalamika balaaBonge la nyimbo..
Jaydee na Joh wana combo moja nzuri sana..waliuwa sana pia kwenye ile KILIMANJAROAcha kabisa naweza sema hii ni moja ya nyimbo bora kwangu kwa mwaka huu kama nikiambiwa niweke list yangu [emoji91]
Kumbe uko vizuri..continue mremboJiko lipikalo maajabu , enjoy mapishi
Tulia hvyohvyo mwanangu,Na nguzo hii huwa sipenyi mchwa wala siafu
Mechi za kirafiki nimestaafu
Hapa ndio kikomo cha usaili
Sihitaji mtu wa kati hii ni kati yetu sisi wawili... [emoji91]
Kalamika sana NICK [emoji91]Humo ndani sasa nick na Agust wanalalamika balaa
a yuu slipingi aloni?Nilikuwa nawatch movie mkuu baada ya kuwa na siku ndefu yenye stress[emoji28][emoji28]
Kuandika ni kazi sasa[emoji16]Kumbe uko vizuri..continue mrembo
Ooh yesa yuu slipingi aloni?
Kiss on my tattoos unaisoma mzee?Humo ndani sasa nick na Agust wanalalamika balaa
Joh kwa nyimbo za mapenzi za rap anaongoza [emoji91] anachora verse hatari sana [emoji119]Jaydee na Joh wana combo moja nzuri sana..waliuwa sana pia kwenye ile KILIMANJARO
Sumbawanga baridi linasemaje huko?Kuandika ni kazi sasa[emoji16]
come on..na it's feel better eti eee??Ooh yes
mm muda wangu ni saa 9Haya wakuu kusali time.[emoji42][emoji42]
Shida hiyo mzee[emoji91][emoji91],Kiss on my tattoos unaisoma mzee?
Angalau hata umekumbuka kusali,Haya wakuu kusali time.[emoji42][emoji42]
[emoji38][emoji38] Ahh hizi kauli za wasaulifumm muda wangu ni saa 9
Trust me hiyo ndio time yangu mm..[emoji38][emoji38] Ahh hizi kauli za wasaulifu