Haya nsalimie ngoja nione kama namii ntapata mwenzangu wa kuungana naeEndelea kusubiri, mi wacha niungane na wenzetu waliolala.....japo najua wameshaniacha kwa ndoto
Nimerudi hapa baba chanjaNtasubili kuchekiwa tu ndo ni lale
Situmiagi hizo mimi[emoji19]Hiizi huku wala usitumie nguvu kuzifata mbali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa mpole hatari. Sikuwa na ela,nikalala tu homeMmm hapana ndo hata kuja kusaini?
Itakua ulishikiwa bakora basi
Ushaimaliza karibu tenaNimerudi hapa baba chanja
Nikajua unazikimbilia basi sawa utakua unatumia wine weweSitumiagi hizo mimi[emoji19]
Nimejisikia tu kukuita hivo. Na mwingine nitamuita mama kayaii.. Basi tu kivuruge vurugeUshaimaliza karibu tena
Baba chanja mbona ngeni kwangu?
Kuna ladha ya cider banaa...wine pia. Namaqua sweet hiviNikajua unazikimbilia basi sawa utakua unatumia wine wewe
Apo sawa ngoja nikulipizie mama chanjaNimejisikia tu kukuita hivo. Na mwingine nitamuita mama kayaii.. Basi tu kivuruge vuruge
Haya kama inapatikana karibu hapo agiza tu upate usingizi muruwaaKuna ladha ya cider banaa...wine pia. Namaqua sweet hivi
Ha ha haaa pole kwa kupatwa na upole.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilikuwa mpole hatari. Sikuwa na ela,nikalala tu home
Manga kampani bila ela duh..nitajaribuHa ha haaa pole kwa kupatwa na upole.
Waonuesha hupendagi kampan wewe[emoji23]
Hata ukipewa ushike wewe hem jaribu basiManga kampani bila ela duh..nitajaribu
Manga kampani bila ela duh..nitajaribuHa ha haaa pole kwa kupatwa na upole.
Waonuesha hupendagi kampan wewe[emoji23]
NishikieHata ukipewa ushike wewe hem jaribu basi