Kwani Kaboom na Cole Williams wanasemaje kwenye hili?Wakuu sorry for interruption, kuna mjadala kidogo hapa nipo na ndugu yangu tunabishana nani mkali kati ya hawa:
Kendrick Lamar v J Cole
Nimeona nilete huu mjadala hapa kwa wazee wa kukesha ili tuondoe ubishani huu.
Tunaomba majibu matano (5) tu kwa comment 5 zinazofuata. Atakaepata frequency kubwa ndio yuko vizuri.
NB: Naomba wajibu wanaojua, na kama kuna sababu tuwekee.
Karibuni!![emoji114]
Mmoja tu anaekuja akili kwako ukitajiwa hao wawili.Nimeshindwa chagua yupi bora. Ni kana uniwekee busta rhymes na Emmy uniambie yupi anarap fast n Good
Nakubali[emoji109]Yes I do the cooking
Yes I do the cleaning
Yes I keep the nana real sweet for your eating
Yes you be the boss yes I be respecting
Whatever that you tell me 'cause it's game you be spitting
Best believe that when you need that
I'll provide that you will always have it
I'll be on deck keep it in check
When you need that I'mma let you have it
You beatin' my drum like dum di di dey
I love the dirty rhythm you play
I wanna hear you calling my name
Like hey mama mama hey mama [emoji445][emoji445]
Sina majibu hapa mpambano wa moto huu [emoji91][emoji91]Wakuu sorry for interruption, kuna mjadala kidogo hapa nipo na ndugu yangu tunabishana nani mkali kati ya hawa:
Kendrick Lamar v J Cole
Nimeona nilete huu mjadala hapa kwa wazee wa kukesha ili tuondoe ubishani huu.
Tunaomba majibu matano (5) tu kwa comment 5 zinazofuata. Atakaepata frequency kubwa ndio yuko vizuri.
NB: Naomba wajibu wanaojua, na kama kuna sababu tuwekee.
Karibuni!![emoji114]
Leo naona umetoboaSina majibu hapa mpambano wa moto huu [emoji91][emoji91]
Too lateLeo nafunga geti mwenye [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa tabu sana.Leo naona umetoboa dadeki
Tulia wee mzee..Too late
Kama nakuona. Utalala siku 3 mfululizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa tabu sana.
Wazee wa kutoboza tunakuchora tuTulia wee mzee..