[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa na kesi unakuwa kama jiran yake Ney eeeeh
Karibu mpaka ndani....jisikie uko nyumbanihodi..!! humu ndani
Jana hukuonekana bestTupo best
Mambo vipi aiseeh
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] nakupenda bureUjue mmekuza jambo dogo sana.....nahisi mmoja wenu ni wa lile kabila wanalouza ng'ombe kwa kesi ya kuku [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Waite washtaki wangu nitoe utetezi hapa
Karibuhodi..!! humu ndani
aww.!! asantee.. uhali gan bibiyeKaribu mpaka ndani....jisikie uko nyumbani
Ilitakiwa uwe usiku wa masita,masaba,manane na matisa [emoji12] [emoji12]Usiku wa mananeeee
Ivi kwanini sio usiku wa masaba.
asante shem lake mzima weye??Karibu
Usijali hii JF imefanya watu tukawa addictedNiko poa sana,jana roho iliniuma kuwaacha mkilisongesha
Unaenda wapi jmn[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
Mie buheri wa afya....ila jje's kanishtaki naomba uwe shahidi wangu tafadhaliaww.!! asantee.. uhali gan bibiye
Karibu dingihodi..!! humu ndani
Mmmmh! Waelekea wapi tena,wakati ndo kwanza tuna nusu saa tangu tuianze siku mpya?[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
ooh.!! kakushtakia nin tena bibiye nipokwa ajili yakoMie buheri wa afya....ila jje's kanishtaki naomba uwe shahidi wangu tafadhali
Ndio naingia hivoooUnaenda wapi jmn
Jana nilikuwa tyt balaah natamani kuchungulia nashindwa ikabidi niwe mpole tuuJana hukuonekana best
[emoji6] [emoji1] asante miss ney mambo zakoKaribu dingi
Ndio naingia hivoooUnaenda wapi jmn