Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hili siliwezi kabisaWe ni mzee wa tungi tu. Wengine wanalicheza hilo wanakuja kushtuka ngoma asubuhi nje kweupee...
Ndio raha ya pool table pembeni una kinywaji chako taratiibu masaa yanakatika[emoji4][emoji4]
Hahahaha, hapana Mkuu ,hii bar iko mabibo katikati hukoHapa mbona kama Maasai Club kule chini kwa ndani budaa?
Mchezo wowote unaohusisha ushindani wa pande mbili kamali haikosekani. Wanacheza kamali mpaka wa pembeni ukiachilia wachezaji wenyewe husika. Wanaita kupandiaWewe ndio km mm ukweli hilo dude huwa natazama na sielewi
Maana kwngine wanacheza na hela/kamari, kwibgibe sijui wanachezaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa unaandamana na rafiki anayelijua hilo possibly angekufundisha. Lina raha yake ukilijua hilo
Uswahilini huko, mazingira kidogo yamefanana
Waswahili wana kamsemo kao wanasemaga, "ukitaka kujua uhondo wa ngoma uingie ucheze".mkuu hivi ilo pooltable linaraha gani mana naliona la kawaida sana, lakni watu wanakua addicted nalo sana sijui kwanini.
.mkuu niache kunywa bia nianze kulizunguka hilo li meza na kujipaka podaUngekuwa unaandamana na rafiki anayelijua hilo possibly angekufundisha. Lina raha yake ukilijua hilo
Ukilijua hilo hutapata tabu kujipaka poda mara kwa mara😂😂.mkuu niache kunywa bia nianze kulizunguka hilo li meza na kujipaka poda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm silielewiWewe ndio km mm ukweli hilo dude huwa natazama na sielewi
Maana kwngine wanacheza na hela/kamari, kwibgibe sijui wanachezaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Are you wishing not to get into that home? 😉
MI nipo lango la kusini huku
Nawe pia mama wawiliUsiku mwema.
Naw pia mrembUsiku mwema.