JamiiForums Usiku wa manane

Kwanza kabisa usitufokee!!!!!!!! Pili na lamsingi ni kwamba ikiwa mtu mume atamnunulia kifungashio cha sehemu za recreation mtu mwenye jinsia pendwa basi kuna ujumbe mmoja tu kwamba siku moja atamla kwa njia moja ama nyingine...Hakuna urafiki wa me na ke usiokuwa wa kindugu ambao umeota mizizi hadi kununuliana vifungashio unaoishia hivi hivi! Binafsi nilimnunulia Bhoke wembe...imagine wembe wa kunyolea ndugu msomaji...Imeishaaaaa!
 

Nimekufokea [emoji23][emoji23] wapi hapo? Urafiki wa mwanamke na mwanaume hakuna? [emoji15]
 
Cjawah kufikiria kwa kweli???nimnunulie mtu kisodo kabisa???labda mpenz lkn siyo rafik wa kawaida
 
Nimekufokea [emoji23][emoji23] wapi hapo? Urafiki wa mwanamke na mwanaume hakuna? [emoji15]
Hapo zamani za kale Juma likaribiswa na Yunisi akamtengea kiti umbali wa mita moja nukta saba tatu kutoka alipokaa yeye ila baada ya dakika sifuri mara paaaaap Juma huyu hapa kambeba Yunisi wakicheza kibaba na mama...story imeisha!
 
Siku nikinunuliwa nitaleta majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…