JamiiForums Usiku wa manane

Mbona mi nilishawaimbia tangu mwanzo ule wimbo wa 20% unaosema 'nakaa pembeni kuepusha msongamano'

Basi tu nyie mmeamua kuniandama,ila mimi sinaga shida kabisa na mtu bali shida yangu ni balimi na viroba kwa sasa na bombadia [emoji39] [emoji39]
Hahaha hivi shift kwa kiswahili ni nini?
 
Eti nilikuwa nauliza hivi, eti kwanini Kichwa Kichafu akija wewe haupo na akiondoka wewe ndo unakuja kwani mnapeana shift ya kuja hapa mwingine anabaki na nyumba?

(Sio mimi ni Nleterewa Nganengo ndo kanituma niulize )
Mmmh sio Msamaria kakutuma kweli, hebu angalia jina la mtumaji vizuri[emoji125]
 
Samaritan hawezi kuwa mchochezi mbobezi kiasi hiki,wewe ndo umenituma [emoji4] [emoji4]
Hahaha umesahau alivyochochea kwa yule mliyekua mkigombania kua ubavuwe, ikabidi wewe u surrender all kasoro viroba, bombadia na balimi?
Hakika ni mchochezi tukuka[emoji40]
 
Hahaha umesahau alivyochochea kwa yule mliyekua mkigombania kua ubavuwe, ikabidi wewe u surrender all kasoro viroba, bombadia na balimi?
Hakika ni mchochezi tukuka[emoji40]
Utakuwa umemfundisha wewe huo uchochezi....maana wasamaria wema hawanaga mambo hayo ya uchochezi
 
Mwombe Neybright akufundishe....jirani yako ni mwema atakufundisha bila hiyana
Kumbee Neybright jirani mwema wa dunia heshima kwako.
Leo naona unapita kimya kimya tu[emoji40]
Natumaini assist ya Thad juu ya ombi la kuwa mwanafuzi wako umeliona. Ntafurahi sana nikipata jibu rembo na la kuvutia.
Thanks in University level (nimejaribu)[emoji120]
 
Hanaga shida,kashone sare kwaajili ya kuanza darasa kesho[emoji2] [emoji2]
 
Popooooozzz, mi nawapa hi, sijawakimbia, majukumu tu yamebana, naendelea kutoa huduma kwanza[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…