JamiiForums Usiku wa manane

Popooooozzz, mi nawapa hi, sijawakimbia, majukumu tu yamebana, naendelea kutoa huduma kwanza[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sawa popo mvuta sigara, tafadhali punguza hizo huwa zinaleta usingizi sana[emoji40]
 
Hahaha mara hii ushasahau huyu ni mfilisti aliyejivika ngozi ya Usamaria[emoji125]
[emoji40] [emoji40] [emoji40]
Sasa ndugu,kwa kuwa wote wametukimbia, unaonaje tukigawana haka kausingizi kadogo nilikobangaiza ili tulale japo kidogo....katakapoishia ni hapo hapo!

Mimi na wewe ni kitu kimoja haina maana kunyimana [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hahaha hakika hapa ndo nimethibitisha roho yako nzuri iliyotukuka, hakika sisi hatujawahi kuwa vitu viwili[emoji39] [emoji7] [emoji8] [emoji8]
Ngoja nije spidi wasije wakakutishiamo ukabadili mawazo[emoji125] [emoji125]
(Kesho tafadhali ujiandae kuuzima huu moto uliouanzisha[emoji13] )
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] we njoo! Kesho atakayeugusa huu moto hatabaki salama! We niachie mimi hilo lisikupe shida kabisa [emoji123] [emoji123]
 
Hivi kumbe alibakari ni mvuta sigara mzuri...ujue natafuta mwalimu wa kunifundisha kuvuta sigara, niunganishe naye tafadhali [emoji12] [emoji12]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Naona usingizi unataka kuleta balaa sasa, hebu tukagawane kwanza hilo bando lililobaki lisije likaisha muda wake[emoji39]
Nb:- Imeandikwa na walioitengeneza UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO[emoji125]
 
Fanya hima,nataka nifunge geti [emoji12] [emoji12]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] we njoo! Kesho atakayeugusa huu moto hatabaki salama! We niachie mimi hilo lisikupe shida kabisa [emoji123] [emoji123]
Ewaaah [emoji7] [emoji8] [emoji8]
Ghafla nimejikuta namkumbuka Craig David na kawimbo kake ka "Unbelievable"
Narudia tena Hakika usiku mnono tumebarikiwa tuna jirani wa dunia na Mtu mwenye roho nzuri wa dunia $NAtaMBA$
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…