Sweta LA Tanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 902
- 2,838
Nimeskia adhana muda si mrefu, nilichogundua wanasayansi wanatakiwa watafute tiba ya UUMWI
Pumzika anko mi namalizia dakika chache tu ila wajumbe wametutenga 😌😌Aisee me nakuachia lindo
Pumzika anko mi namalizia dakika chache tu ila wajumbe wametutenga [emoji18][emoji18]
NaamWewe
Hahahah acha nizurure bhana,Tatizo hautulii sehemu moja mkuu
Aseee hongera kwa kuwa na huo muda wa kuangalia..Ni saa 6 na dk 12. Walioko hewani tujiorodheshe hapa.
Naangalia ITV mchezo ni SIRI. Boss wa CB production anamtongoza mfanyakazi wake ambaye mmewe kauawa na mtongozaji. Wanaletewa chakula na mhudumu. Je wakimaliza watabanjuka?
Ni sawa tu na wewe una muda wa kuchat JF.Aseee hongera kwa kuwa na huo muda wa kuangalia..
Njoo Mimi nipoYaani lindo halina mtu[emoji1787]
Tumekuja.Yaani lindo halina mtu[emoji1787]
Upo kweli?Njoo Mimi nipo
Njoo Mimi nipo
Ningeshangaa lindo kukosa watu[emoji4]
Tumekuja.
Ningeshangaa lindo kukosa watu[emoji4]
Karibu boss tulindeVp nije
tupo aisee, kuna kitabu nakisoma hapa, kama ingekua bible sijui kama ningekua macho.Ningeshangaa lindo kukosa watu[emoji4]
TupooooYaani lindo halina mtu[emoji1787]
niaje?Tupoooo