Ulale salama mkuuJamani usiku mwema
Thad funguo huwa nakaa nazo mm nikitoka tu kufunga kiosk changu nakuja funga gateNakukabidhi funguo za geti...tafadhali utufungie geti saa 11 alfajiri
Nawe pia mpnzJamani usiku mwema
Upoooo 2:2001:52 bado namtafuta, popo anaechipukia
Leo hamuagi? My kaka ameenda wapi leo?Thad funguo huwa nakaa nazo mm nikitoka tu kufunga kiosk changu nakuja funga gate
Npo busy kidogo na la kiosk kangu jje's ntarudi baadae kufunga gateNani yupo na funguo mbona lindo mmeliacha wazi?
2:27, nipoo, nawacheki vijana wangu mnavyoendeleza vipaji vyenu, mi nataka nimjue anaefata nyayo zanguUpoooo 2:20
Kila mtu ana kiosk humu jaman hebu nipen maarifa[emoji8]Npo busy kidogo na la kiosk kangu jje's ntarudi baadae kufunga gate
Uko vzr leo nimeamin[emoji12]2:27, nipoo, nawacheki vijana wangu mnavyoendeleza vipaji vyenu, mi nataka nimjue anaefata nyayo zangu
Wengine vya urithi si unajua cc wachaga tena hv tunarithishwa toka vijana wadogoKila mtu ana kiosk humu jaman hebu nipen maarifa[emoji8]
Mimi chagga ya kike si unajua urithi tunakuwa tunaangalia tu mkigawana? Hebu fanya maarifa na mm nipate ka kibanda[emoji85] [emoji38]Wengine vya urithi si unajua cc wachaga tena hv tunarithishwa toka vijana wadogo