Comrade [emoji23][emoji23][emoji23], hao wezi au vibaka, hivi tofauti kati ya wezi, vibaka na majambazi ni ipiHao ndio waliokusaidia. Mungu ana njia zisizochunguzika wala kutegemea na kukuoa kutoka katika jambo hatari. Usikute ulivyojihami kwa kusimama, wangeingia wangekudhuru but God himself intervened by his own way to save you.
Wezi wa design hiyo wajinga sana, hudhuru kwa kujihami hata kama hujafanya chochote
Kabisa kabisa Mungu ni mwema, Mungu ni mkuu, hua nawaza endapo wangeingia ndani na nilikua peke yangu,Hao ndio waliokusaidia. Mungu ana njia zisizochunguzika wala kutegemea na kukuoa kutoka katika jambo hatari. Usikute ulivyojihami kwa kusimama, wangeingia wangekudhuru but God himself intervened by his own way to save you.
Wezi wa design hiyo wajinga sana, hudhuru kwa kujihami hata kama hujafanya chochote
Hao paka wanaodhurula bila mpangilio waliwezaji kupiga mlio au hao mbwa waliwezaje kuwaona hao vibaka kama ni strangers.. HahahaPaka walikua wanalala uwanjani kwangu, mbwa wa majirani.
Miss umchumba upo mkeshani hapa, good good [emoji106]Atakaye fanya Ibada, naomba animumbuke
Inachekesha kwa kuisoma, nadhani sijawahi kupata uoga wa namna ile since then.Makamanda mpo, nimestuka toka usingizini nimekutana hii stori nimecheka
Hao ni vibaka but sometimes haya maneno yanatumika interchangeably mkuu. Kibaka mkwapuzi, mwizi anayenyemelea (plan) na kuiba, jambazi ni yule anayetumia siraha ya moto na sometimes anaweza akadhuru kama atakutana na upinzani katika kufanikisha lengo lake. Utofauti huu ni kadri almashauri ya kichwa changu kilivyonisaidia, sio lazima wote tuwe na uwelewa wa aina mojaComrade [emoji23][emoji23][emoji23], hao wezi au vibaka, hivi tofauti kati ya wezi, vibaka na majambazi ni ipi
Ulishawahi kukaa sehemu yenye mbwa? Ulijuaje kama Paka walikua wanazurura?Hao paka wanaodhurula bila mpangilio waliwezaji kupiga mlio au hao mbwa waliwezaje kuwaona hao vibaka kama ni strangers.. Hahaha
You have been always in my prayers RowinAtakaye fanya Ibada, naomba animumbuke
God bless you...FyddellYou have been always in my prayers Rowin
Mchumba gani , hujui kama analinda? Fanya umiliki mapema.Miss umchumba upo mkeshani hapa, good good [emoji106]
Kibaka ni yule anayekwapua anaweza pia akatumia silaha ndogo kama bisibisi, wembe, kisu, missions zake ndogo ndogo,Comrade [emoji23][emoji23][emoji23], hao wezi au vibaka, hivi tofauti kati ya wezi, vibaka na majambazi ni ipi
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Pole nahisi hata ulitaka kujikojoleaInachekesha kwa kuisoma, nadhani sijawahi kupata uoga wa namna ile since then.
You're welcome sweetheart.God bless you...Fide.
Hao wote tuwaweke kwenye kundi moja tunawaita waporaji... Ila kati ya makundi hayo naemuogopa zaidi ni kibaka kukiko mwizi na jambazi, wewe je kwa upande wakoHao ni vibaka but sometimes haya maneno yanatumika interchangeably mkuu. Kibaka mkwapuzi, mwizi anayenyemelea (plan) na kuiba, jambazi ni yule anayetumia siraha ya moto na sometimes anaweza akadhuru kama atakutana na upinzani katika kufanikisha lengo lake. Utofauti huu ni kadri almashauri ya kichwa changu kilivyonisaidia, sio lazima wote tuwe na uwelewa wa aina moja
Kati ya hayo makundi yupi unaogopa kukutana nae katika mission zake, mimi kwa upande wangu namuogopa kibaka aisehh kuliko mwizi na jambaziKibaka ni yule anayekwapua anaweza pia akatumia silaha ndogo kama bisibisi, wembe, kisu, missions zake ndogo ndogo,
Mwizi anaweza kuvunja na kuiba mahali hata kuingia ndani ya nyumba na kuiba vitu, anatumia silaha kama panga,nyundo, mawe, tochi ya mwanga mkali, missions zake za kati,
Jambazi ni mtu wa mipango mikubwa mikubwa hakurupuki, deals zake za maana na silaha yake ni ya moto.
[emoji1787] [emoji1787] Unalinda au tunalinda wote,Mchumba gani , hujui kama analinda? Fanya umiliki mapema.
Ndiyo nimeamua kutia kambi kwako naona unanifaa kabisa kuwa mke,Mchumba gani , hujui kama analinda? Fanya umiliki mapema.
Mi simuogopi yeyote kati ya hao coz sina hulka ya uoga na pia najua hawana mafunzo yoyote so wakikutana na mtu kama mimi possibility ya (yeye), miongoni mwao kuumia ni kubwa, ila kama wataniotea sawa itakuwa miscalculation yangu.Hao wote tuwaweke kwenye kundi moja tunawaita waporaji... Ila kati ya makundi hayo naemuogopa zaidi ni kibaka kukiko mwizi na jambazi, wewe je kwa upande wako
Namuogopa Mwizi sababu anaweza kuja kwako akakuibia bado akaamua tu kukukata hata sikio au kidole, anaweza akabaka familia, anaweza akafanya uharibifu wowote,Kati ya hayo makundi yupi unaogopa kukutana nae katika mission zake, mimi kwa upande wangu namuogopa kibaka aisehh kuliko mwizi na jambazi