Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Atupangiwi kwani airtime za kwetuAisee mpaka saa hizi hamjalala mnawachosha moderators laleni
Usiombe uwe na matatizo na parking area [emoji23] [emoji23] [emoji23] muda hauendiNdiyo kwanza nimerudi nilikuwa ninmlia timing land Lady alale, sijalipa kodi na sababu zimesha kwisha
Haha pole mkuuUsiombe uwe na matatizo na parking area [emoji23] [emoji23] [emoji23] muda hauendi
Kama tulivyoWeiter ongeza glass
Thanx huwa nakukubali sana kule kwenye uchochoro wa afyaHaha pole mkuu
Wa kwangu anachukua kiti anakaa mlangoni, utamkuta hata ukirudi saa tisaNdiyo kwanza nimerudi nilikuwa ninmlia timing land Lady alale, sijalipa kodi na sababu zimesha kwisha
Huyo ni normaWa kwangu anachukua kiti anakaa mlangoni, utamkuta hata ukirudi saa tisa
Ni shidaaHuyo ni norma
Huyo kibokoWa kwangu anachukua kiti anakaa mlangoni, utamkuta hata ukirudi saa tisa
Anakwambia ukiona unanyanyasika jenga yako uone kama kujenga ni rahisiHuyo kiboko
Ndiyo kwanza nimerudi nilikuwa ninmlia timing land Lady alale, sijalipa kodi na sababu zimesha kwisha
Dili zikikubali huwa ninampa in advance sasa juzi amenities mazhesanu niko kama miezi Mitanni nyuma!
!
Gonga like kama na wewe kodi ya Nyumba inakuuma mno kulipa. Mimi huwa daaaah ikifika yaani hadi naumwa