Wakati niko Secondary miaka ya 2000's nilikuwa mpenzi mkubwa wa Basketball especially NBA. Yaani nilikuwa nanunua mpaka CDs za NBA nashinda kuangalia nyumbani nikiwa likizo.Wanaopenda NBA wachache sana humu.
Uchovu wa week end na baadae ni job. Wajua jumatatu inavyokuwaga tight. Siku ya kupanga weekly target kikazi, ingawa kwa wengine ni blue monday as usualOk! Basi itakuwa uchovu !
Channel ganu zinaoneshwa mkuu?Na hizi finali za NBA zimechangia
Miami heat ni 🚮🚮🚮Ok! Basi itakuwa uchovu !
Ulishawahi cheza basketball?Wakati niko Secondary miaka ya 2000's nilikuwa mpenzi mkubwa wa Basketball especially NBA. Yaani nilikuwa nanunua mpaka CDs za NBA nashinda kuangalia nyumbani nikiwa likizo.
Ilikuwa unitajie star gani wa NBA nisimjue? Lakini sasa hivi hayo mapenzj sijui yamepotelea wapi?🙄😌
Game yenyewe imeshaisha mzee ni game ya upande mmoja.Channel ganu zinaoneshwa mkuu?
Yeah nimecheza sana miaka yote ya O n A level. Wadhani ningetengeneza interest juu ya huu mchezo bila kuwa mchezaji.? Nilikuwa kwenye timu ya vijana Savio pale Don Bosco UpangaUlishawahi cheza basketball?
sasa kama ulicheza imekuaje leo huna vybe na kikapu ukirudishwa kwenye court shooting range yako itakuwepokweli ww?Yeah nimecheza sana miaka yote ya O n A level. Wadhani ningetengeneza interest juu ya huu mchezo bila kuwa mchezaji.? Nilikuwa kwenye timu ya vijana Savio pale Don Bosco Upanga
Pole sana mm napenda kucheza na kuangalia sinaplan nao yeyote hile najifurahisha tu.Wenzangu wengi walipata scholarship nje ya nchi kupitia mchezo huu miaka yetu. Mi nilipata hiyo ruhusa alafu mzee kabana, alijua Botswana tunaenda kufundishwa Basketball tu😏
Wenzangu wako mbali sana now....
For now maisha yalishabadirika. Focus ipo kwenye mambo mengine kabisa, sio mbaya kama unacheza for pleasurePole sana mm napenda kucheza na kuangalia sinaplan nao yeyote hile najifurahisha tu.
Ipo ila sio kama kipindi kile, nilipo kwasasa kuna basketball yard so huwa maramoja moja nikijisikia najiunga na vijana wa hapa tunapasha. Ubize kakasasa kama ulicheza imekuaje leo huna vybe na kikapu ukirudishwa kwenye court shooting range yako itakuwepokweli ww?
unacheza position gani?Ipo ila sio kama kipindi kile, nilipo kwasasa kuna basketball yard so huwa maramoja moja nikijisikia najiunga na vijana wa hapa tunapasha. Ubize kaka
Most of the time centre na muda mwingine guard.unacheza position gani?
mm napenda kucheza Guard siku zote na ndionapoweza tukasiku ya kwanza nimejifunza ni position yangu hiyo hiyo muda wote.Most of the time centre na muda mwingine guard.
Kwa umri nilionao sasa si mzuri kucheza kwa malengo, ila kama mzee asingeizuia ile scholarship ya kwenda Botswana kipindi kile ndio niko moto, labda ndio ingekuwa career yangu kwasasa.Pole sana mm napenda kucheza na kuangalia sinaplan nao yeyote hile najifurahisha tu.
Guard sehemu ya kurelax kiasi ingawa sijaona mchezo unaohitaji pumzi na nguvu kama basketball. Pia kwa upande wa guard inahitaji uwe na shooting range nzuri sana na forward mid rangemm napenda kucheza Guard siku zote na ndionapoweza tukasiku ya kwanza nimejifunza ni position yangu hiyo hiyo muda wote.
Aisee umekuja kufunga lindo mkuu?0515
Yap kucheza guard lazima uwena shooting range kubwa point 3 muhimu.Guard sehemu ya kurelax kiasi ingawa sijaona mchezo unaohitaji pumzi na nguvu kama basketball. Pia kwa upande wa guard haihitaji uwe na shooting range nzuri saana coz hizo ni kazi za forward