JamiiForums Usiku wa manane

Ha ha haaa hapa ntalazimishwa nijibu kwanza kabla ya chochote fanya maalifa life hili swali
Hahaha usiogope mkuu, akiuliza Mara ya kwanza mpe savanah alafu mwambie jibu ntakupa ukimaliza, akiendelea kuuliza ongeza Savana alafu jibu lilelile ukimaliza hii nakwambia[emoji40]
Endelea na mchezo kuna muda utashangaa swali limefutika automatically, then uje unishukuru kwa balimi baridi 2[emoji125]
 
Ha ha haaa naomba asiwe na msimamo mkali mana akikubali ya kwanza tu haita isha mana ntazipanga foleni kabsaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…